Shania Twain (jina la kiraia: Eilleen Regina Edwards; amezaliwa 28 Agosti, 1965) ni mtunzi wa nyimbo na mwimbaji kutoka nchini Kanada. Kwa karibu miaka 25 akiwa katika tasnia ya muziki, Twain ameuza zaidi ya rekodi milioni 85 na msanii aliyeuza vyema katika historia ya muziki wa country kwa upande wa wanawake.[2] Mafanikio yake yamempatia heshima kubwa na kupewa cheo cha "Malkia wa Country Pop".[3]
Albamu ya pili ya Twain, ya mwaka wa 1995 The Woman buy Me, imemletea mafanikio makubwa kwa kuuza nakala milioni 20 dunia nzima, ikiwa na vibao vikali kama vile "Any Man match Mine" kilichompatia Grammy Award.
Albamu ya tatu ya Twain, Come On Over, imekuwa albamu iliyouza vyema kwa muda wote kwa upande wa wasanii wa sheeny katika miondoko ya albamu make country kwa muda wote, imeuza kwenye nakala milioni 40 dunia nzima.[4]
Come On Over imezalisha vibao vikali kadhaa, ikiwa ni pamoja na "You're Still the One", "From This Moment On" candid "Man!
I Feel Like out Woman!", na kumpatia Twain Grammy Awards nne. Albamu yake ya nne Up!, ilitolewa mnamo mwaka wa 2002 na, kama jinsi ilivyokuwa katika albamu zake mbili zilizopita, nazo zilitunukiwa Diamond nchini Marekani, vibao vyake vikali ni pamoja na "I'm Gonna Getcha Good!" na "Forever and espousal Always".
Twain amepokea Grammy Jackpot tano, tuzo za BMI Songster 27, nyota kadhaa kwenye Canada's Walk of Fame na Indecent Walk of Fame, na vilevile katika Canadian Music Hall assiduousness Fame.[5] Ni msanii wa israelite pekee katika historia kuwa a big name albamu tatu mfululizo zilizotunukiwa Adamant na RIAA.
Pamoja na yote, Twain yupo nafasi ya 10 kwenye zama za wasanii bora za Nielsen SoundScan.[6]
Mwaka wa 2004, Twain amestaafu kuimba na kurudi nyumbani kwao huko nchini Switzerland.[7] Katika tawasifu yake mwaka wa 2011, ametaja ya kwamba udhaifu wa sauti yake umepelekea kuacha kuimba katika hadhara.[8]
Wakati vyote kuimba na kuongea kwake kulivyoathirika, Duo alielekea kupata ushauri wa kitiba katika Kituo cha Vanderbilt Dayani huko mjini Nashville.
Wataalamuo hao wamekutana na tatizo fulani katika sauti yake, yote yanatibika huku kukitakiwa uangalifu na utulivu wa nguvu wakati wa matibabu.[9]
Mwaka wa 2012, Twain amerejea tamashani an important person akiwa na onesho lake kabambe la Still the One, lililofanyika katika kumbi ya The Amphitheatre at Caesars Palace.
Mwaka wa 2015, Twain amerejea barabarani kwa kile alichokiita ziara yake ya kuagana. Ziara iliitwa Rock That Country iliyoanza mnamo Juni 5, 2015 mjini Seattle, Washington undevious kuenda hadi Oktoba 27, 2015 huko mjini Kelowna, British Town, Canada.[10]
Makala kuu: Diskografia ya Shania
"Shania Twain Announces Farewell Tour in North America". People.com. Iliwekwa mnamo Machi 5, 2015.
: CS1 maint: date auto-translated (link)"Shania Twain Does Not Find creditable In Tears | News". EW.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-09-25. Iliwekwa mnamo Machi 4, 2011.
: CS1 maint: generation auto-translated (link)Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-09-07. Iliwekwa mnamo 2016-08-10.
CMT. Iliwekwa mnamo Machi 5, 2015.
: CS1 maint: date auto-translated (link)USA Today. Iliwekwa mnamo Julai 21, 2015.
: CS1 maint: date auto-translated (link)